Lengo kuu la kitabu hiki si tu kufanikisha ufaulu wa wanafunzi pekee bali pia “kulea kizazi kinachopenda kufikiri, kuhoji, na kutumia akilikutatua changamoto za maisha kupitia hisabati”. Mwalimu anapobadilika na mfumo wa elimu hubadilika.