Fomu ya Kujiunga na Shule St.Mark's Dodoma
Downloadable

Fomu ya Kujiunga na Shule St.Mark's Dodoma

1
TSh20,000.00


ST. MARKS PRIMARY SCHOOL – DODOMA

2027 ADMISSION APPLICATION FORM

Anza safari ya mtoto wako kuelekea elimu bora kwa kupata Fomu Rasmi ya Maombi ya Kujiunga St. Marks Primary School kwa mwaka 2027.

Unachopata baada ya malipo:

- Fomu ya maombi ya kujiunga kwa mwaka 2027.

- Fomu inayotolewa kwa ajili ya maombi ya mwanafunzi.

- Maelekezo muhimu kuhusu hatua zinazofuata za maombi.


Muhimu: Malipo haya ni kwa ajili ya kupata fomu ya maombi na hayamaanishi mtoto amepata nafasi ya kujiunga na shule. Uandikishaji/admission utafanyika kwa kufuata taratibu na vigezo vya shule.

πŸ”’ Usalama: Malipo yanafanyika kupitia mfumo wa Selar. Usishiriki PIN, OTP au password yako na mtu mwingine.

πŸ“ St. Marks Primary School – Miyuji, Dodoma

πŸ“… Admission 2027

0612183154

Frequently bought together

Β© 2026 St.Mark's School Dodoma. All Rights Reserved.

Powered By