
ACHANA NA UFUNDI WA KUBAHATISHA—KUWA CHIP LEVEL EXPERT SASA!
Je, unajua ni pesa kiasi gani unapoteza kila siku kwa kukataa simu ngumu au kuziunguza bodi kwa kukosa vipimo sahihi? Kile ambacho mafundi wengine wamekisaka kwa miaka 10 na kupata hasara kubwa, wewe unaenda kukipata hapa ndani ya dakika chache!
Huu siyo mradi wa hadithi, ni Mwongozo Kamili wa Vitendo (Pure Practical) uliandaliwa na Aimable mahsusi kwa soko la Tanzania utakaokufundisha:
🛠️ Smartphone Architecture & Vipengele:
Siri za Multi-layer PCB, OVP IC, PMIC, na kupima short circuit kwa sekunde chache kwenye Diode Mode.
💨 Jedwali la Joto na Upepo: Vipimo sahihi vya Hot Air Gun ili usiwahi kuunguza bodi au plastiki tena.
💻 Software & Mifumo: Kufufua simu zilizokufa (Dead Phones) kwa kutumia UnlockTool, UFI Box, na EFT Pro.
🍏 iPhone Advanced: Micro-soldering, Reballing, na kutatua changamoto za Face ID na Battery Health.
📈 Masoko: Jinsi ya kujaza wateja mezani kwako kila siku kwa kutumia TikTok na WhatsApp.
Kwanini TZS 50,000/= Sio Hasara?
Ukitengeneza simu moja tu ya mteja iliyoshindikana kwa mafundi wengine, tayari umesharudisha gharama ya kitabu hiki na faida juu! Huu ni mtaji utakaokuingizia pesa maisha yako yote—kitu ambacho huenda ungekisaka miaka nenda rudi bila kukipata.
👉 Bofya kitufe cha "BUY NOW" hapo juu sasa hivi, uondoe unyonge mezani kwako na uanze kuing iza mamilioni kama Master T echnician! Whatsapp +255750593903