Kiluvya Quality Bricks ni kampuni itakayozalisha na kuuza tofali za saruji pamoja na vifaa vingine mbalimbali vya ujenzi vilivyo na ubora wa hali ya juu kwa bei rafiki kwa mteja.
Malengo yake makubwa ni pamoja na kufikisha wastani wa mauzo ya shilingi milioni 12 kwa mwezi, kuongeza idadi ya mashine 2 mwaka wa 3 pamoja na kutoa ajira ya kudumu kwa watu watatu.
Wamiliki wa biashara ni Bwana Ahmed Yusuph na Grayson Moris ambao kila mmoja atatoa kiasi cha shilingi milioni 6.5 kama kianzio........................................................
Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti ya faida na hasara unaupata hapahapa ukilipia
Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri