
Hii ni eBook bora kabisa kwa wapishi wa nyumbani na wajasiriamali wanaokumbana na changamoto za kila siku kwenye uokaji wa keki.
Utakapomaliza kusoma kitabu hiki utakuwa umejifunza:
HAKIKISHA UNASOMA SURA YA 4 na YA 6. Kuna mafunzo ambayo kila mpishi anatakiwa kuyajua.
Kinafaa kwa wote: wale wanaoanza uokaji, wenye muda mrefu na hata wenye maduka ya keki.
UTAPOKEA EBOOK YAKO MARA MOJA BAADA YA MALIPO!
NB: Kama bei ipo katika mfumo wa USD na unataka kubadilisha, tafadhali bonyeza juu kwenye maandishi yaliyoandikwa USD na uchague sarafu/fedha unayotaka kutumia kufanya malipo.