
Biashara yako haikui? Kila mwaka unafanya kazi ngumu lakini mwaka unaofuata bado uko pale pale — hakuna ukuaji wa kweli, wateja hawaongezeki, mapato hayapandi? The Beauty CEO Intensive Masterclass — Online ni njia ya kubadilisha hilo, popote ulipo, kwa muda wako.
Tunashughulikia mzizi wa tatizo — kutoka bei isiyokulipa vizuri, content isiyogeuka wateja, wateja wasiorudi, mpaka wafanyakazi wanaokusumbu. Utapata:
— Video sessions za kina, zako milele (lifetime access) — tazama tena wakati wowote
— 1-on-1 Session na Lisma (dakika 45) — kikao kimoja cha faragha, kinachofunguka kuanzia wiki moja baada ya kununua (ili uwe umeshaangalia video kwanza)
— Business Templates & Tools za kutumia mara moja
Baada ya kununua, bonyeza link uliyopokea kupata access ya darasa lote.
Nafasi ni chache — jiunge sasa.