FEMININE RESET
Read Online

FEMININE RESET

1
$160.26$180.3

FEMININE RESET.


Safari yako ya kujitambua, Kujiponya na kurudi kwako mwenyewe.


Labda umechoka kuishi maisha ambayo mood yako inabadilishwa na message ya mtu mwingine.


Akichelewa kujibu, unaanza kujiuliza:

“Kuna nini?”

“Mbona amebadilika?”

“Nimefanya nini?”

“Bado ananitaka?”

“Ana Mwanamke mwingine”


Unaweza kujikuta unawaza sana, unatafuta uhakika wa majibu kila mara, unasubiria attention, unajizuia kusema unachohitaji kwa sababu unaogopa kuonekana needy, au unajifanya hujali wakati ndani yako unajali sana.


Pengine kwenye mahusiano unatoa Zaidi ya unavyopokea.


Unaelewa watu wengine kuliko unavyojielewa mwenyewe.


Unawapa watu nafasi hata wanapokuvuka mipaka yako.


Unanyamaza ili usimpoteze mtu.


Unajifanya uko sawa wakati hauko sawa.


Au umechoka sana kiasi kwamba sasa umejenga ukuta na kuamua, “Mimi sihitaji tena mtu yeyote sasahivi natafuta tu Pesa “.


Lakini ndani kabisa, unatamani kupendwa, kueleweka, kupokea, kushikwa mkono na kujisikia salama.


Feminine Reset imeletwa kwa ajili yako.


Hii siyo program ya kukufundisha jinsi ya kumfanya mwanaume akuchague. Utajifunza kuchagua siyo tu kuchaguliwa.


Na siyo program ya kukufanya uwe mwanamke mpya anayekubalika na kila mtu.


Hii ni safari ya kukusaidia kuacha kujitelekeza mwenyewe huku ukisubiri kuchaguliwa na wengine.


Ndani ya Feminine Reset, tutajifunza kwa undani Zaidi;


♡ Kwa nini unajikuta una-overthink na kuingiwa na anxiety(wasiwasi)

 kwenye mahusiano

♡ Kwa nini ukimya , kuchelewa kujibiwa au mabadiliko ya energy ya mtu yanaweza kukutengenezea panic

♡ Jinsi ya kutuliza nervous system yako na kujisikia salama ndani yako

♡ Jinsi ya kujenga upya trust na kujiamini 

♡ Jinsi ya kuweka boundaries bila guilt

♡ Jinsi ya kuelewa attachment patterns zako

♡ Jinsi ya kusema unachohitaji bila chasing, begging au kujipoteza

♡ Tofauti kati ya love, anxiety, obsession na attachment

♡ Jinsi ya kupokea upendo, support na care bila kujisikia uncomfortable

♡ Jinsi ya kuacha kutoa Zaidi bila kupokea na people pleasing

♡ Jinsi ya kujenga confidence inayotoka ndani yako

♡ Jinsi ya kupenda mtu bila kupoteza maisha yako, identity yako na amani yako

♡ Jinsi ya kuwa emotionally strong bila kuzima hisia na moyo wako.


Hii ni kwa mwanamke ambaye amechoka kuwa kwenye vita ndani ya akili na moyo wake.


Mwanamke ambaye anaonekana strong kwa watu wengine, lakini ndani yake kuna overthinking,Hofu ,Uwoga, kujilaumu, kuogopa rejection na kujikuta akijiacha ili tu relationship iendelee.


Babygirl…Huhitaji kuwa cold.


Huhitaji kujifanya hujali/unbothered.


Huhitaji kuacha kutamani upendo sahihi.


Unachohitaji ni kujifunza jinsi ya kupenda bila kujisahau wewe.


Mwisho wa safari hii, lengo siyo kwamba hutawahi tena kuumia au kuwa triggered .


Lengo ni kwamba kwa vyovyote vile kamwe hutajipoteza tena.


Mtu anaweza kuchelewa kukujibu, lakini wewe unaendelea na siku yako siyo kwa kupretend.


Mtu anaweza kutokukuchagua wewe lakini bado unajichagua wewe.


Unaweza kusema ukweli wako bila kuogopa kwamba kila mtu ataondoka.


Unaweza kupenda kwa moyo wako wote bila kuacha kujipenda.


Unaweza kupokea bila guilt.


Unaweza kuweka standards bila kujenga ukuta kuzunguka moyo wako.


Unaweza kutamani relationship nzuri bila kufanya relationship kuwa maisha yako yote.


Acha kujitelekeza.


Anza kujisikia salama ndani yako.


Jijenge upya.


Rudi kwako. 


Karibu kwenye FEMININE RESET.



Feminine Reset ni audio transformation

🎧 Audio Lessons

📝 Practical Exercises

🤍 Emotional Regulation

🌷 Self-Trust & Boundaries

✨ Healing Unhealthy Patterns


Kwa changamoto yeyote au huduma ya haraka zaidi, text whatsApp au piga simu +255765669577

Frequently bought together

© 2026 Ulimwenguwaufeminine. All Rights Reserved.

Powered By