
Wateja wako hawanunui sababu wana maswali kichwani mwao ambayo hujawahi kuyajibu. Kabla hujasema “book now,” lazima kwanza apate uhakika wa mambo 3 muhimu.
Template hii inakupa:
✅ Objections 3 za kawaida kwa fani yako (wasusi, makeup artists, lash techs, na brow specialists)
✅ Sababu ya kweli kwa nini mteja hasemi wazi wazi
✅ Jibu tayari la kutumia kwenye caption, reel, au DM — bila kuandika upya