USADO Milling ni kampuni mpya ya ubia wa watu wawili itakayojihusisha na usagishaji, ufungashaji na uuzaji wa bidhaa za nafaka zisizokobolewa hususani Dona.
Dhamira yetu kuu ni kupunguza magonjwa ya tabia kwa watu hasa wale waishio katika miji ya Dar es salaam na Pwani.
Malengo ya USADO ni kuwa na duka kubwa la jumla na rejareja eneo la Mbezi mwisho ndani ya miezi 6 tu ya mwanzo, kununua mifuko maalumu ya kuhifadhia nafaka zisiliwe na wadudu maarufu kama mifuko ya PICKS itakayotosha kuhifadhi mahindi ya miezi 6 pamoja na mtambo wa kisasa wa kuchambulia mahindi kabla ya mwaka wa 3. .................................................................
Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti zote 3 za fedha utaupata hapahapa mara tu ulipiapo
Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri.