MAISHA YA WANAFUNZI SHULENI
Downloadable

MAISHA YA WANAFUNZI SHULENI

(0 Ratings)
1
TSh2,500.00TSh5,000

Maisha ya shule ni hatua muhimu katika ukuaji wa mwanafunzi , si kwakujifunza masomo tu, bali pia katika kujenga tabia, maadili na mahusiano nawengine. Kitabu hiki nimeandika kwa lugha rahisi ili kuelezea kwa kina tofautiza tabia za wanafunzi, jinsi walimu wanavyoishi na wanafunzi wa ainambalimbali, na namna bora ya kuwasaidia waliopotoka kurudi kwenye mstarisahihi. Katika shule nyingi, wapo wanafunzi wenye tabia njema wanaosifiwa, na piawapo wanaopotea kutokana na mazingira magumu ya kifamilia, makundimabaya ya marafiki, au changamoto za kisaikolojia na kijamii. Lengo la kitabuhiki ni kusaidia walimu, wazazi, na jamii kuelewa sababu hizo na kuchukuahatua sahihi za kurekebisha tabia za wanafunzi kwa upendo na hekima. Nimetumia mazungumzo ya moja kwa moja kati ya walimu, wanafunzi, nawazazi, pamoja na simulizi halisi na hoja za kisaikolojia, kuonyesha njia yakweli ya kujenga nidhamu na maadili shuleni. Kila mwanafunzi ana nafasi yakubadilika. Kwa msaada sahihi, hata yule aliyepotea anaweza kuwa kiongozibora wa kesho.

Frequently bought together

© 2026 Daniel Ndisa. All Rights Reserved.

Powered By