
Hii ni Private 1-1 call ya dk60.
Ndani ya lisaa unapata nafasi ya my full attention,
Tutajadili kwa kina nini kinakusumbua kwasasa, kwanini ,Chanzo ni nini na hatua za kuchukua papo kwa hapo ili kutoka hapo ulipo kwasasa na uanze kufaidika na kupona ndani nje.
Kwenye haya mazungumzo njoo na Tatizo la aina yeyote ile - Mahusiano ya aina zote, Dating, Sex, Matatizo ya kihisia, Unataka kufanya maamuzi fulani au Unataka muelekeo wa kusonga Mbele kwa usahihi.
Ulimwenguwaufeminine una Majibu ya mambo mengi yatakayokubadilisha sector zote za Maisha yako.
Hii ni kwa ajili yako kama umechoka kurudia duara hilohilo bila faida na unataka muongozo sahihi,
Baada ya Booking utapokea confirmation ya mazungumzo yetu na Private link ya session.
Pia unaweza text direct to whatsApp +255765669577