MWONGOZO WA UFUNDI SIMU (Hatua kwa Hatua)
Downloadable

MWONGOZO WA UFUNDI SIMU (Hatua kwa Hatua)

1
$6.36$10.61

MWONGOZO WA UFUNDI SIMU (HATUA KWA HATUA)


​Huu ni mwongozo maalum uliotayarishwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili kwa ajili ya mafundi simu wote wanaotaka kuongeza ujuzi na kufanya kazi kwa ueledi mkubwa.


​Utakachojifunza:

​Matumizi sahihi na ya usalama ya vifaa vya kazi (Tools) kama Screwdrivers, Hot Air Gun, na Digital Multimeter.


​Hatua kwa hatua za kufungua simu kwa usalama (Disassembly) bila kuongeza uharibifu.

​Mbinu za kubadilisha vioo (Screens) na betri kiwango cha juu.


​Ahadi Yetu: Tunakuhakikishia kuwa ukifuata hatua hizi, utajifunza na kuelewa vizuri sana jinsi simu zinavyofanya kazi na namna ya kuzifanyia matengenezo (Hardware & Software). Wekeza kwenye ujuzi wako sasa!


Jinsi ya Kupata Kitabu Hiki:


​1. Bonyeza kitufe kikubwa cha "Buy Now" (au "Nunua Sasa") kilichopo hapo juu/chini.


​2. Jaza jina lako na barua pepe (Email) yako kwa usahihi.

​Chagua mtandao wako wa simu (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa au Halopesa) na uweke namba yako ya simu.


​3. Utapokea ujumbe wa siri kwenye simu yako kuweka PIN ili kukamilisha malipo.

​Ukishalipia tu, kitabu chako cha PDF kitajishusha (kujidownload) kwenye simu yako papo hapo!

Frequently bought together

© 2026 Emobile Fix Tanzania. All Rights Reserved.

Powered By