MCHANGANUO WA BIASHARA YA UONGEZAJI THAMANI MASHAMBA YA ZABIBU (Makupila Real Estate Agency)
Downloadable

MCHANGANUO WA BIASHARA YA UONGEZAJI THAMANI MASHAMBA YA ZABIBU (Makupila Real Estate Agency)

1
TSh10,000.00

MUHTASARI


Makupila Real Estate Agency (MREA) ni ni kampuni ya udalali Wilayani Chamwino Dodoma itakayojishughulisha na uongezaji thamani wa mashamba ya zabibu na kisha kuyauza kwa watu wanaoyahitaji.


Moja ya malengo yetu makubwa katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu ni kuomba mkopo wa shilingi milini 10 kutoka katika Mfuko wa pembejeo wa Taifa pamoja na kuongeza thamani shamba la heka 2.


Ili mradi wetu uweze kuanza tunahitaji kiasi cha shilingi milioni 13.9 fedha ambazo zitatumika katika ununuzi wa shamba shilingi laki 6 na kiasi kitakachobakia kitatumika katika kulipia gharama mbalimbali za uoteshaji wa zabibu na uboreshaji wa shamba kuliongezea thamani.


Chanzo cha fedha hizi ni mkopo wa shilingi milioni kumi kutoka Mfuko wa Pembejeo wa Taifa na shilingi milioni 4 mtaji wa wa wamiliki wenyewe Makupila Mwaluko na Mkewe...............................................................


Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote muhimu kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti za fedha unaupata kwa malipo kidogo hapahapa kwenye duka hili


Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri.


Bofya neno BUY NOW kufanya malipo

Frequently bought together

© 2026 Peter Augustino Tarimo. All Rights Reserved.

Powered By