AFYA NDANI YA SIKU 21
Downloadable

AFYA NDANI YA SIKU 21

(0 Ratings)
1
$8.48$10.61

Kama wewe unataka kubadilisha afya yako ndani ya siku 21 tu bila kutumia njia ngumu...


Program hii imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako.......


HUU ni muongozo utakaokufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kula sahihi, kusafisha mwili wako, na kujikinga na magonjwa yanayosababishwa na mfumo mbaya wa ulaji.


Ndani ya program hii utapata:


👉Ratiba kamili ya kula kwa siku 21

👉Mwongozo wa vyakula sahihi kwa afya bora

👉Orodha ya vyakula vya kuepuka kabisa

👉Njia za asili za kusafisha mwili (Detox)

👉Mfumo rahisi wa kuboresha mmeng’enyo wa chakula

👉Ushauri wa kitaalamu wa kubadili maisha yako kiafya


💪 Program hii itakusaidia:

✔ Kupunguza uzito kwa njia salama

✔ Kuboresha afya ya tumbo na mmeng’enyo

✔ Kupunguza hatari ya kisukari, presha na magonjwa mengine

✔ Kuongeza nguvu na uchangamfu mwilini

✔ Kujenga nidhamu ya ulaji bora


Je, hii inafaa nani?


👉 Wanaotaka kupunguza uzito

👉 Wenye matatizo ya tumbo (constipation, gesi, nk)

👉 Wanaotaka kuishi maisha yenye afya bora

👉 Mtu yeyote anayetaka kubadili mfumo wake wa ulaji


📥 Utapata nini baada ya kununua?


Utapokea PDF mara moja ambayo unaweza kusoma kwenye simu au kompyuta muda wowote.


📞 Support ya karibu:

Ukipata changamoto yoyote, unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kwa ushauri kupitia 0682451371


Anza safari yako ya afya bora leo – ndani ya siku 21 utaweza kuona mabadiliko makubwa!...

#wewenikileunachokula 🥑 🥦

Frequently bought together

© 2026 Faudhia Ernest. All Rights Reserved.

Powered By