Mradi wa ufugaji wa kuku wa mayai ya kienyeji wa Mayai Asili, dhamira yake ni kuzalisha na kuuza mayai ya kienyeji ili kuboresha kipato cha familia pamoja na kutoa protini safi isiyokuwa na kemikali kwa wakaazi wa jiji la Dar es salaam.
Malengo yetu ni pamoja na kuanza kufuga kuku matetea wapatao 20 kwa kutumia mbinu na teknolojia mpya tulizobuni wenyewe..................................................................................
Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti zote muhimu za fedha unaupata kwa shilingi elfu 10 tu hapa dukani
Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri