Jukwaa la Wanawake wafanyabiashara za mpakani TWCC mojakati ya malengo yao makubwa ni kununu mashine ya kukoboa mpunga itakayosaidia kupunguza gharama zilizokuwa zikipunguza faida wanayoipata katika biashara yao pamoja na kuunga mkono sera ya serikali ya awamu ya 5 ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo mwaka 2025. Wanakadiria kuzalisha na kuuza wastani wa tani 300 za mchele super kwa mwaka...............................................
Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti ya faida na hasara unaupata kwa malipo kidogo hapa kwenye duka hili
Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri.