
Aina 8 za content zinazokugeuza follower kuwa mteja, na jinsi ya kuandika offer inayoleta mauzo. Inafaa kwa beauty entrepreneurs (makeup, hair, nails, lashes) na wafanyabiashara wowote wanaouza bidhaa au huduma mtandaoni wanaotaka kukuza page na kupata wateja wa kweli.