E-book title out of the grave
Downloadable

E-book title out of the grave

(0 Ratings)
1
$3.00

Out of the Grave – Journey to the Mental Freedom

Ni zaidi ya kitabu – ni mwongozo wa kuvuka kutoka kwenye kifungo cha mawazo, huzuni, hofu na mashaka, hadi kwenye maisha ya uhuru wa kweli wa kiakili.

Katika dunia yenye kelele na presha nyingi, wengi wamefungwa bila minyororo. Kitabu hiki kitakusaidia:

✅ Kutambua nguvu ya mabadiliko ya fikra

✅ Kujifunua kutoka kwenye giza la ndani

✅ Kuchukua hatua ya kweli ya kupona kiakili


Usiishi tena kaburini ukiwa hai – toka, jiokoe, jiamini.

🌱 Karibu kwenye safari ya uhuru wa fikra na maisha mapya.

Frequently bought together

© 2026 Iddi Mkambala. All Rights Reserved.

Powered By