
Uongozi wa shuele ni nguzo muhimu katika kuafanikisha malengo ya elimu . mkuu washule ana jukumu la kusimamia taaluma nidhamu, mahusiano ya anaowasimamia na maendeleo ya shule kwa ujumla. Kitabu hiki kinajadili masuala muhismu yanayo husu uongozi wa shule, kama mahusiano shuleli, vikao, migogoro nidhamu, namengineyomengi.
Lengo la kitabu hiki ni kutoa maarifa na kuchochea tafakuri kuhusu namna uongozi borawa shule unavyoweza kujenga ushirikiano, uwajibikaji na mazingira mazuri ya kufundisha na kujifunza.
Ninaamini kuwa kitabu hiki kitakuwa msaada kwa wakuu wa shule, walimu na wadauwengine wa elimukatika kuboreshaa uongozi na kuimarisha ubora wa elimu.
Kiongozi bora hajengi hofu kwa cheo chake bali hujenga heshima kwa matendo yake.