
Kwenye safari hii ya kuelekea utajiri, kuna mambo ya msingi sana unapaswa kuyaelewa. Usipoyagundua mapema, utakuja kushtuka umri umeenda na ulichokifanya hakieleweki. Pension uliyopata unaishia kula na kulipa ada za wajukuu, Muda huo wengine unakuta hata nyumba hawajajenga. Amka sasa…… “Numbers don`t lie”