Biashara ya chapatti ni biashara inayokua kwa kasi sana katika majiji makubwa kama Dar es salaam, Kampala, Arusha, Nairobi na Zanzibar.
Umaarufu wake unatokana na sababu kwamba ni chakula kinachoweza kuliwa haraka njiani hasa nyakati za asubuhi na jioni watu wanapoenda au kutoka makazini.
Ingawa inaweza kuonekana chapatti ni rahisi kutengeneza lakini kamuulize mtu yeyote anayeanza atakuambia ugumu wa kazi hii. Kuna mbinu ikiwa huzijui kamwe hautaweza kupika chapatti laini zitakazopendwa na kila mtu.
Kitabu hiki (E-book) unaweza kukipata hapahapa kwa shilingi elfu 10 tu
Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua kitabu chako sasa hivi bila kusubiri.