AFYA BORA NI HAZINA
Read Online

AFYA BORA NI HAZINA

(0 Ratings)
1
TSh10,000.00

Kitabu hiki cha Afya Bora Ni Hazina kitakusaidia namna ya kujipatia kinga nzuri mwilini dhidi ya magonjwa, endapo utatumia viungo vya chakula ipasavyo, pia kitabu kitakupa mtazamo tofauti dhidi ya viungo vya chakula ambavyo umekuwa ukivikuta sokoni na kuvipita, pasipo hata kuvitilia maanani, ninakuhakikishia rafiki umalizapo kusoma kitabu hiki utakuwa na hamasa ya kuanza kuvitumia viungo vya 

chakula kunizidi hata mimi ambaye nimekuandikia kitabu hiki. 


Tena ni kitabu cha kipekee ambacho hujawahi kukutana nacho popote, soma kwa utulivu maana kitakufungua fahamu zako na utaelewa umuhimu wa viungo vya chakula ambavyo kwa muda mrefu 

umevitumia bila hata kufahamu ubora na kazi zake mwilini, Mimi pia nilikuwa sijui umuhimu wa viungo hivi kama ilivyo kwako wewe,lakini ni viungo ambavyo mwenyezi Mungu alitutayarishia binadamu hata 

kabla ya kutuumba, maana Mwenyezi Mungu alianza kuamuru iwepo mimea,mimea ikawepo kwanza kabla ya kuumbwa kwa binadamu wa kwanza,baada ya kukamilisha kuandaa mimea mbalimbali hapo ndipo akamuumba mwanadamu wa kwanza.

Frequently bought together