MCHANGANUO WA BIASHARA YA KUUZA CHIPSI (Amani Chips Centre)
Downloadable

MCHANGANUO WA BIASHARA YA KUUZA CHIPSI (Amani Chips Centre)

1
TSh10,000.00

MUHTASARI


Amani Chips centre ni biashara ya mtu mmoja itakayotoa huduma bora za chipsi kwa madereva na makondakta katika stendi ya daladala ya Buguruni-Muhimbili.


Dhamira yake kubwa ni kutengeneza chipsi tamu zenye ladha nzuri katika mazingira safi.

Malengo ya Amani chips ni kuuza ndoo 1 na nusu ya viazi kwa siku miezi ya mwanzo na kuongeza kiwango hicho taratibu pia kupata faida ya shilingi elfu 27 kwa siku. ................................................. 


Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti ya faida na hasara unaupatamuda mfupi ukilipa


Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri.


Bofya neno BUY NOW kufanya malipo

Frequently bought together

© 2026 Peter Augustino Tarimo. All Rights Reserved.

Powered By