
Jifunze kusoma ukwasi, muundo wa soko, displacement, fair value gaps, order blocks na udhibiti wa hatari kwa mfumo wa vitendo. Mwongozo huu kamili wa Kiswahili una sura 15, viambatisho vya ukaguzi, na chati 11 halisi za XAUUSD. Umeandaliwa na RCM GLOBAL kwa madhumuni ya elimu. Baada ya malipo, utapata faili la eBook papo hapo. Blogu rasmi: https://moseseusebius.blogspot.com/