
Unataka kujua jinsi ya kuanza kutengeneza pesa mtandaoni bila kuwa na ujuzi au uzoefu wowote na bila kutumia hata senti moja?
EBook hii ni mwongozo mfupi na rahisi ambao unakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuanza kutengeneza pesa mtandaoni Leo hii ukiwa na simu yako tu na bila hata ya kuwa na ujuzi au uzoefu wowote.
Nimeandika eBook hii baada ya kujaribu binafsi njia hizi na kutengeneza pesa halisi mtandaoni, na kufanikiwa kutengeneza Zaidi ya Tsh Milioni 2 nikiwa hapa hapa Tanzania na sasa ninashirikisha siri hizi ili wewe pia uanze.
Kila kitu nimekielezea kwa urahisi, bila maneno magumu, na unaweza kuanza mara moja!
👉 Kwenye hii ebook Utajifunza:
Hii eBook ni kamili kwa mtu yeyote anayeanza na anayetaka kuanza kutengeneza pesa mtandaoni leo hii bila mtaji wala ujuzi au uzoefu wowote .
Pakua sasa na anza safari yako ya kuunda kipato mtandaoni kwa kutumia simu yako!