KITABU KIZIMA CHA EMOBILE FIX TANZANIA
Downloadable

KITABU KIZIMA CHA EMOBILE FIX TANZANIA

1
$24.50$37.75

β€‹πŸš€ JIFUNZE UFUNDI WA SIMU KITAALAMU: KUTOKA SIFURI HADI NGAZI YA JUU (CHIP LEVEL MASTER)!


​Je, unataka kumiliki ujuzi utakaokuingizia kipato kila siku na kukutofautisha na mafundi wa kawaida mtaani? Kitabu hiki cha EMOBILE FIX TANZANIA ni mwongozo kamili ulioundwa kisayansi na kwa Kiswahili rahisi.


β€‹πŸ“š Utakachojifunza Ndani ya Kitabu Hiki:

β€‹πŸŒ Smartphone Architecture: Kuelewa mtiririko wa umeme na mawimbi (Power & RF Signal Flow).


β€‹πŸ”¬ Advanced Board Repair: Siri na hatua 7 za kufanya Reballing ya IC na kurejesha njia zilizokatika (Micro-jumping).


β€‹πŸ› οΈ Hardware & Software: Utatuzi wa simu zilizokufa (Dead Phones), matatizo ya chaji, mwangaza, na matatizo ya mifumo (Android & iPhone).


β€‹β€‹πŸŽ― Kitabu hiki ni kwa ajili yako kama wewe ni: Mwanafunzi anayeanza kabisa, au fundi wa sasa anayetaka kupanda ngazi na kuwa mtaalamu wa kiwango cha kimataifa.


​Gusa kitufe cha "Buy Now" kupata nakala yako sasa hivi na uanze safari ya kuwa Fundi Mkuu! Ukikwama kwa malipo tucheki +255750593903

Frequently bought together

Β© 2026 Emobile Fix Tanzania. All Rights Reserved.

Powered By