
Kitabu hiki cha HARDWARE FUNDAMENTALS kimeandaliwa maalum na Aimable kutoka Emobile Fix Tanzania kwa lugha ya Kiswahili rahisi sana ili kukutoa sifuri hadi kuwa fundi mchambuzi wa vifaa vya ndani vya simu (Hardware).
Utakachojifunza ndani ya Mwongozo huu (Kurasa 5-10 za Kitalamu):
🛠 Sura ya 1-3: Kutambua tofauti ya Hardware vs Software na kujua matumizi ya Tools zote za kisasa.
⚡ Sura ya 4-6: Siri ya kutumia Multimeter kama "macho" yako na kuelewa umeme wa simu (Voltage, Current, na Sheria ya Ohm).
📱 Sura ya 7-9: Uchambuzi wa Motherboard na jinsi ya kupima Components kuu 5 (Resistor, Capacitor, Diode, Coil, na Fuse) ili kujua nzima au mbovu bila kubahatisha.
⚠️ Sura ya 10: Makosa 4 hatari yanayofanywa na mafundi wapya yanayoua simu za wateja na jinsi ya kujiepusha nayo!
Kila Sura Ina: Malengo, Mifano halisi ya maisha, Michoro ya kiufundi, na Maswani ya kujipima ili kuhakikisha unaelewa!
💰 PUNGUZO LA 40% LEO HII!
Okoa TZS 15,000 sasa hivi. Badala ya kulipa bei ya kawaida ya TZS 35,000, jipatie nakala yako ya PDF ya kisasa kabisa kwa TZS 20,000 TU!
👉 Bofya "Buy Now" kupata PDF yako hapa hapa sasa hivi na uanze safari yako ya kuwa Fu ndi Mkuu! Whatsapp +255750593903