
MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda
Hiki ni kitabu kinachoelezea historia ya Dr. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Tanzania pamoja na falsafa ya MAGUFULISM.
Kama uko Tanzania na unataka kulipia kwa Mitandao ya Simu Bofya sehemu ya Currency pale juu kushoto, Switch kutoka USD kwenda Tsh kisha Bofya kitufe cha Buy Now kununua.
Josias Charles
