
Je wewe ni mtundu wa jiko, una ufundi mwingi kwenye maanjumati na unapenda mapishi, yaani kwa ufupi wewe ni Chef kabisa kasoro cheti!😊
Au una ujuzi, elimu au mapenzi (passion) juu ya vyakula?
Ama una elimu juu ya rishe bora, una recipe nzuri au unajua kuchagua vyakula vizuri wakatiwa manunuzi?
Au wewe unapenda tu mambo yanayohusiana na jikoni, namna ya kupika, namna ya kupakua vyakula au namna ya kutengeneza vyakula kwa ajiri ya Rika Fulani au watu wenye uhitaji na changamoto fulani fulani?
Unaonaje tukigeuza ujuzi huo kuwa chanzo chako cha mapato?
Kaa mkao wa kusubiri na kujifunza.
1.Fursa wazi kabisa ambazo unaweza kuzitumia kutengeneza kipato kupitia ujuzi na upenzi wako wa mapishi na vyakula kwa ujumla.
2. Namna ya kutafuta masoko kutoka kwenye fursa hizo. Maana kuona fursa ni jambo moja na kupata soko ndani ya fursa hizo ni jambo lingine.
3. Namna unavyoweza kuanza taratibu bila kutumia gharama kubwa na ukaweza kutengeneza faida na kuikuza biashara hiyo kwa hatua madhubuti kabisa.
4 . Mbinu za kuyateka masoko hayo na kuibuka kinara kwenye macho ya wateja wako, maana hao ndio muhimili wa biashara yako.
Wahi mapema kupata record yako sasa hivi.
 Bofya link hapo chini kupata rekodi yako!