Jinsi ya Kupika Keki Kwa Kutumia Jiko La Gesi, Mkaa na Oven
Downloadable

Jinsi ya Kupika Keki Kwa Kutumia Jiko La Gesi, Mkaa na Oven

(0 Ratings)
1
$5.31

Unapenda kupika keki lakini hauna oven? Hilo lisikuumize kichwa tena kwani kwa kutumia jiko na mkaa au gesi unaweza ukapika keki nzuri na tamu kama mtu aliyetumia oven. Ndani ya hiki kitabu kuna maelekezo ya jinsi ya kupika keki kwa kutumia jiko la gesi na mkaa, kuna mapishi ya keki tofauti pamoja na namna ya kuandaa na kuipamba keki.

Frequently bought together

© 2026 Lilian Christopher. All Rights Reserved.

Powered By