Utajionea video za Endasaki mkoani Manyara katika tour fupi mkoani humo.
Kusafiri ni burudani na dawa pia.
katika kusafiri tunajifunza vitu vipya kama vile utamaduni, jiographia ya maeneo tofauti.
Hapa ni Endasaki mkoani Manyara, wilaya ya Hanan