MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA
Downloadable

MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA

1
TSh5,000.00

Hiki ni moja kati ya vitabu 4 visivyochuja kamwe, 4TIMELESS CLASSIC BOOKS OF ALL TIMES, vingine ni hivi vifuatavyo;


1. Think & Grow Rich

2. Michanganuo ya biashara na ujasiriamali

3. Mafanikio ya biashara ya duka la rejareja


Sifa kubwa ya vitabu hivi 4 ni, huwa havipitwi na muda, maudhui yake ni ya kudumu kama umuhimu wa biashara nao ulivyokuwa wa kudumu, leo unafanya biashara lakini mjukuu wako naye atatafuta maarifa hayahaya kufanya naye biashara.


MIFEREJI 7 Kimewahamasisha watu wengi waliokisoma na kitaendelea kufanya hivyo miaka na miaka ijayo.


Kitabu hiki (E-book) unaweza kukipatata hapa kwenye duka hili la mtandaoni punde tu ulipiapo


Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua kitabu chako sasa hivi bila kusubiri



Bofya neno BUY NOW kufanya malipo

Frequently bought together

© 2026 Peter Augustino Tarimo. All Rights Reserved.

Powered By