
Mwongozo wa biashara ni kitabu ambacho kinatoa nafasi ya kujifunza kuhusu kuanzisha, kusimamia na kuendeleza biashara kwa kuzingatia misingi mama na mwongozo thabiti wa kile ambacho biashara inahitaji.
Biashara ni uwanja wa makosa, kosa lako leo sokoni ndio fursa ya mwenzako sokoni pia, hivyo ni jambo la msingi sana kutambua mwongozo wake ili uweze kupunguza hatari ya kufanya makosa mengi unapokuwa sokoni.
Kitabu hiki kinakufaa wewe ambae