Kitabu : Mwongozo wa biashara
Read Online

Kitabu : Mwongozo wa biashara

1
TSh18,000.00

Mwongozo wa biashara ni kitabu ambacho kinatoa nafasi ya kujifunza kuhusu kuanzisha, kusimamia na kuendeleza biashara kwa kuzingatia misingi mama na mwongozo thabiti wa kile ambacho biashara inahitaji.

Biashara ni uwanja wa makosa, kosa lako leo sokoni ndio fursa ya mwenzako sokoni pia, hivyo ni jambo la msingi sana kutambua mwongozo wake ili uweze kupunguza hatari ya kufanya makosa mengi unapokuwa sokoni.


Kitabu hiki kinakufaa wewe ambae

  1. Unatafuta wazo la biashara ili uanze biashara
  2. Mwenye wazo lakini haujui unaanzia wapi
  3. Mwenye biashara lakini unatamani ikue
  4. Mwenye changamoto ya usimamizi wa biashara
  5. Mwenye changamoto ya mbinu na fursa kupitia biashara husika.



Frequently bought together

© 2026 Elisha Chuma. All Rights Reserved.

Powered By