
Umechoka kufanya biashara isiyokulipi ipasavyo na inakuchosha zaidi? Biashara yako inakutegemea wewe kwa kila kitu — huwezi kupumzika, huwezi kuenda likizo, kila siku ni wewe peke yako. Let’s Build Beauty Business ni jumuiya ya wafanyabiashara wa urembo wanaojitambua kila wiki tutaongelea mifumo inayokusaidia kuendesha biashara yako vizuri: masoko, mauzo, namna ya kuwahudumia wateja,namna ya kuajiri,automation na teknolojia. Utapata mifano ya machapisho, mikakati ya mauzo, na taratibu za kazi zinazokusaidia kujenga brand inayolipa, si followers tu. Live Q&A kila Jumatano saa nne usiku. Jiunge sasa.