Unapata shida kujua ni aina gani ya chakula utampikia mwanao ili aendelee kukua kimwili na kiakili?Hiki kitabu kina mapishi ya aina tofauti pamoja na vinywaji ambavyo utamtengenezea mwanao kwa urahisi kabisa.