UWF INNER CIRCLE
+ Telegram Access
Subscription

UWF INNER CIRCLE

Please note this is a recurring payment subscription, and you will be charged $10.02 every month. You'll get an email before every subsequent charge, and you can cancel the subscription at any time.
$10.02

Tafadhali soma maelezo yote 👇🏾

UWF Inner Circle siyo group la kawaida. Ni private Telegram community kwa wanawake wanaotaka kujifunza, kujijenga, kujitambua zaidi na kuwa The best version of yourself.

kwenye group utapata live sessions za mafunzo na mada kuu tofauti kila mwezi, weekly prompts & real practices, honest conversations, Ushauri exclusive na utajibiwa kila swali ulilonalo kwa practical teachings, accountability na community ya wanawake wanaopitia safari kama yako.


Kila mwezi tutakuwa na mada kuu mpya ya kukusaidia kurudi kwako, kujiamini zaidi, kuweka mipaka, kuheal, kukua ,kuishi kwenye Feminine energy kwa usahihi siyo perfomance ili kupata unachotaka na zaidi.

25,000/= kwa mwezi.


Community iko Telegram. Baada ya kujiunga utapokea link special kwa ajili yako ili kujoin community, Tafadhali angalia email inbox yako papo hapo baada ya malipo ili kujoin community kabla lisaa halijapita.

Kama Telegram haifunguki kwenye network yako, unaweza kutumia VPN. Ukipata changamoto yoyote ya kujiunga, wasiliana nasi WhatsApp kwa msaada. +255765669577.

Hii siyo sehemu ya ku-scroll tu.

Hii ni nafasi yako ya kujifunza, kujifanyia kazi , kushikwa mkono na kukua zaidi

Rudi kwako kwenye real freedom, Jichague. Jenga na vutia maisha unayoyataka.


ulimwenguwaufeminine.

Frequently bought together

© 2026 Ulimwenguwaufeminine. All Rights Reserved.

Powered By