
Umekuwa na ndoto ya kuanza biashara ya ice cream huku ukiwa nyumbani na huna mashine?
Ndani ya kitabu hiki kuna kila kitu unachohitaji kufahamu ili kuweza kuianza biashara yako hata kama una mtaji mdogo. Kupitia Kitabu hiki utajifunza utengenezaji wa Ice cream tofauti ambazo zitakuweka mbele ya washindani wako na kuwafanya wateja wako wakusifie kila wakati.