HER WORTH
Downloadable

HER WORTH

(1 Ratings)
1
$10.35

HER WORTH

Jinsi ya Kuacha Kuvumilia Kisichokujenga, Kurudisha Thamani Yako na Kuchagua Upendo Wenye Heshima.

Je, unajikuta ukijitoa sana kwenye mahusiano lakini bado hujisikii kuthaminiwa?

Ukweli ni kwamba mwanamke anayejitambua thamani yake hachagui mahusiano kwa hofu, bali kwa hekima.

Ndani ya ebook hii ya kurasa 55, utajifunza:

✔ Jinsi ya kujenga self-worth ya kweli.

✔ Jinsi ya kuweka mipaka bila kujihisi mwenye hatia.

✔ Dalili za mahusiano yanayokudhoofisha.

✔ Namna ya kupona baada ya maumivu ya kimapenzi.

✔ Hatua za kujenga kujiamini na kuvutia mahusiano yenye heshima.

Hiki si kitabu cha nadharia pekee. Ni mwongozo wa vitendo utakaoanza kuutumia mara moja.

Bei ya kawaida: TSh 27,000

Bei ya ofa: TSh 12,000

Anza safari yako ya kujithamini leo. Bonyeza "Buy Now".+255 760 792 616

Frequently bought together

© 2026 Neema Fussi. All Rights Reserved.

Powered By