MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU CHOTARA WA NYAMA KUROILER
Downloadable

MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU CHOTARA WA NYAMA KUROILER

1
TSh10,000.00

MUHTASARI


Chotara Poulty Production Company (CPPC) ni biashara mpya katika eneo la Kimara “B” Ubungo jijini Dar es salaam itakayojihusisha na ufugaji wa kuku chotara aina ya Kuroiler. Mmiliki wake ni Bibi Amina Abdallah


Malengo yetu ni kuanza na kuku kroiler 300 wa nyama mwaka wa kwanza na kufikisha kuku 600 mwaka wa 3


Tumelenga pia kuanzisha ufugaji wa kuku Kuroiler wa mayai ifikapo mwaka wa tatu. Kutakuwa na mfanyakazi 1 atakayemsaidia Bibi Amina kuhudumia mradi na mahitaji yote ya mtaji ni shilingi milioni 4 ambapo gharama za kudumu ni sh. milioni 1.8 na gharaa zinazojirudia sh. milioni 2.2, bidhaa zetu ni kuku wazima, mbolea na viroba vitupu


Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti muhimu za fedha unapatikana hapa kwenye duka hili la vitabu mtandaoni


Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri


Bofya neno BUY NOW kufanya malipo

Frequently bought together

© 2026 Peter Augustino Tarimo. All Rights Reserved.

Powered By