Dhamira ya Jane Restaurant ni kuwapa wateja wake mlo mzuri wenye afya katika mazingira mazuri na rafiki kwa bei watakayoimudu.
Malengo yake makubwa katika kipindi cha miaka 3 ni, kuomba mkopo wa muda mfupi benki shilingi milioni 2 kwa ajili ya kukarabati eneo la biashara, kuwekeza faida katika biashara kwa madhumuni ya kuipanua zaidi na.................................
Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti zote 3 za fedha unaupata mara tu unapolipia hapa
Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri.