Mwongozo wa kudhibiti Presha na Kisukari
Downloadable

Mwongozo wa kudhibiti Presha na Kisukari

(0 Ratings)
1
$4.67$6.36

Je, unajua kwamba shinikizo la juu la damu na kisukari ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazozidi kuongezeka kwa kasi barani Afrika? Magonjwa haya mawili yasiyoambukiza yanajenga mazingira ya hatari kimyakimya endapo hayatadhibitiwa mapema.

Usisubiri yafike hatua mbaya! Kama daktari wako, nimekuandalia mwongozo kamili na wa kina wa hatua kwa hatua wa kudhibiti presha na kisukari ili kukupa mbinu sahihi za lishe, mazoezi, na mtindo bora wa maisha.

Frequently bought together

© 2026 Dr Apoli Health. All Rights Reserved.

Powered By