
Kitabu Mwongozo wa Maisha - Mambo 10 muhimu kufanya mara tu unapoamka asubuhi yatakayobadilisha maisha yako ndani ya muda mfupi.
Hiki ni kitabu chenye mlengo wa kubadilisha mtindo wa maisha kutoka kwenye ubora na kuwa bora zaidi, kupitia kitabu hiki utajifunza jinsi ya kutumia vyema muda wako lakini na rasilimali nyingine zinazokuzunguka kila siku kwa ajili ya kujiboresha, kitabu hiki ni chachu ya mabadiliko chanya kwenye maisha yako.
Ikiwa ulikuwa unatafuta ama unahitaji kufanya mabadiliko chanya kwenye maisha yako na haujui ungefanyake basi kitabu hiki ni msaada kwako, kitabu kina sura 10 zilizosheheni maarifa kwa ajili yako.
Karibu kuanza safari ya mabadiliko chanya ya maisha yako.