MALENGO 2025
Service

MALENGO 2025

1
TSh150,000.00

Malengo 2025 ni huduma inayotolewa na Echu Consulting maalum kwa ajili ya kuandaa, kuboresha na kutengeneza malengo sadifu ya mwaka unaoisha na kuelekea mwaka unaofuata.


Huduma hii inahusisha

  1. Kufanya tathmini ya malengo yako uliyojipangia kwa mwaka unaoisha
  2. kutoa ushauri wa makosa yaliyofanyika kwa mwaka unaoisha
  3. kuandaa malengo mapya pamoja na kutengeneza muda wa kuyafikia
  4. Mpango mkakati wa kufikia malengo kwa urahisi.


WALENGWA

Walengwa wa huduma hii ni watu wote wanaopenda kuishi kwenye kusudi pamoja na kuyavuta mafanikio upande wao, ikiwa ni mmoja wao basi huduma hii inakuhusu lakini pamoja na hiyo, huduma hii inatolewa kwa biashara zote ambazo zinahitaji kufanya tathmini na kuboresha mipango na mauzo yake.


GHARAMA

Gharama ya huduma hii ni Tshs 150,000/= kwa mtu na Tshs 200,000/= kwa biashara.


Karibu sana.

Frequently bought together

© 2026 Elisha Chuma. All Rights Reserved.

Powered By