
Jifunze kuhusu maombi ni kitabu ambacho kinamjengea mkristo uelewa mpana kuhusu maombi, kwanza kwa kutoa maana na baadae kueleza mahitaji pamoja na maarifa kuhusu maombi, kwa mkristo maombi ndio njia mama ya kuwasiliana na Mungu hivyo asipofahamu kwa undani maana yake ni ngumu kupokea kile ambacho anakiomba.
Ndani ya kitabu hiki kuna sura 11 zenye jumla ya kurasa 133 ambazo zime eleza kwa kina elimu ama maarifa kuhusu maombi, baadhi ya mada ni pamoja na
na kadha wa kadha, nikutakie usomaji mwema na Bwana Akubariki