KITABU : Misingi ya Mkristo na Ukristo
Read Online

KITABU : Misingi ya Mkristo na Ukristo

1
TSh12,000.00TSh20,000

MISINGI YA UKRISTO NA MKRISTO ni kitabu cha maarifa ambacho kinalenga kumsaidia mkristo kujitambua, lakini kupata ufahamu wa misingi ya imani yake ( Mkristo) na kisha misingi ya jinsi ya kuishi kwa kufuata imani yake ( Ukristo).


Kitabu hiki kinayo majibu ya maswali yako mengi kwa mwongozo wa Roho Mtakatifu, lakini na mwongozo wa namna bora ya kuishi kwa kufuata imani yako.


Baadhi ya masomo yaliyomo ni pamoja na

  • Maana halisi ya Mkristo
  • Hatua za kumpokea Kristo
  • Hatua 4 za kuamini
  • Ahadi na maisha halisi ya mkristo
  • Misingi mikuu ya Ukristo hapa duniani
  • Maombi na kanuni zake
  • Amri zinazoongoza maisha ya mkristo sasa
  • Viwango ama vyeo vya ukristo
  • Hatua muhimu za kukuza imani yako.


Yote haya na mengine mengi utayapata ndani ya kitabu hiki, Mungu akubariki kupitia maarifa haya.



Frequently bought together

© 2026 Elisha Chuma. All Rights Reserved.

Powered By