JINSI YA KUANDIKA MCHANGANUO MFUPI WA BIASHARA (ONE PAGE B/PLAN)
Downloadable

JINSI YA KUANDIKA MCHANGANUO MFUPI WA BIASHARA (ONE PAGE B/PLAN)

1
TSh10,000.00

Ni aina ya michanganuo yenye maelezo mafupi yanayojitosheleza na huchukua muda mfupi zaidi kuandaa.


Mchanganuo mfupi wa Biashara unakidhi haja ileile ambayo mchanganuo mrefu wa biashara ungekidhi, kwa mfano sehemu nyingi wanazoitisha mtu upeleka business plan kama mabenki na Taasisi nyingine za fedha, wanapendelea zaidi kusoma ufupisho wa mchanganuo unaopeleka ili kupata picha ya andiko zima


Ufupisho huo unafanana na aina hii ya michanganuo mifupi inayoelezewa kwenye hiki kitabu.


Kina mifano ma maelezo ya kutosha ya namna ya kuandika


Kitabu hiki (E-book) unaweza kukipatata kwa bei ya shilingi 10,000 hapa hapa katika duka lako mtandaoni.


Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua kitabu chako sasa hivi bila kusubiri


Bofya neno BUY NOW kufanya malipo

Frequently bought together

© 2026 Peter Augustino Tarimo. All Rights Reserved.

Powered By