Single mother ( Sauti ya Usiku wa Mamaa mlezi )i ni simulizi ya maisha ya mama mlezi, changamoto zao, majeraha ya moyo, na nguvu ya kusimama tena, Kikiwa na ushuhuda halisi na maarifa ya kisaikolojia, kitabu hiki ni mwongozo wa uponyaji na mwanzo mpya kwa kila mama anayelea peke yake.