
TAMBUA NGUVU YA ASILI KATIKA MAISHA YA MKRISTO
Ni kitabu ambacho kinatoa maarifa ya asili kuhusu mahusiano ya awali kati ya Mungu na asili pamoja na Mungu na wanadamu, ukweli ni kwamba kila mtu anatoka kwenye asili na asili yake ndio utambulisho wake.
Mungu amekupitisha katika asili yako kwa makusudi maalum ili ufanyike faida kwa familia na jamii kwa ujumla, sasa ipo haja ya kufanya mambo kwa uhakika, ndani ya kitabu hiki nimekuandikia uhakika na mwongozo mzuri wa kufuata kwa habari ya asili yako lakini kwa habari ya Kristo pia.
Imani kupitia Kristo ilikua uli kuboresha asili sio kuondoa asili.
Bwana Akubariki