SCHEMATIC DIAGRAM & BOARDVIEW MASTER GUIDE By Aimable
Downloadable

SCHEMATIC DIAGRAM & BOARDVIEW MASTER GUIDE By Aimable

1
$8.48$29.69

​🔥 UTAPATA NINI NDANI YA MWONGOZO HUU?


​Kitabu hiki kimeandikwa kwa Kiswahili rahisi na cha kitaalamu kikiwa na Sura 15 za kina zifuatazo:


​Sura ya 1 & 2: Kuelewa misingi na tofauti kati ya Schematic Diagrams na Boardview Files.


​Sura ya 3 & 4: Alama zote 13 muhimu za kielektroniki (Resistors, Capacitors, Diodes, MOSFETs, n.k.) – Kazi zake na jinsi zinavyoonekana kwenye bodi.

​Sura ya 5 hadi 11: Uchambuzi wa kina wa hatua kwa hatua wa mifumo mikuu ya simu:

​Power Lines (VBUS, VBAT, VPH_PWR)

​Charging Lines (OVP IC, USB Data Lines)

​Display & Touch Lines

(MIPI Lines, Backlight Anode, I2C Communications)

​Audio & Network (RF) Lines

(Transceivers na Power Amplifiers)


​Sura ya 12 & 13: Jinsi ya kutumia Programu za Kisasa (Borneo Schematics, ZXW, Pragmafix) na kutafuta components kwa kutumia Coordinates (Grid System).


​Sura ya 14 & 15: Mbinu za Troubleshooting za Kitaalamu (Diode Mode / Inverted Measurements) pamoja na Case Studies za Matengenezo Halisi ya iPhone na Samsung!


​🌟 KWANINI UNUNUE MWONGOZO HUU LEO?


​Lugha ya Kiswahili: Hakuna lugha ngumu ya

Kiingereza, kila kitu kipo wazi kwa lugha yako ya nyumbani.


​Mifano ya Michoro ya Kimfumo (Flowcharts & Tables): Imeandaliwa kukuonyesha mtiririko sahihi wa umeme na signal bila kukuchosha.


​Maswali ya Kujipima: Kila mwisho wa sura kuna maswali ya kukurudisha kwenye mstari na kuhakikisha umeelewa.


​Okoa Pesa na Muda: Epuka kuharibu vifaa vya wateja kwa kukisia. Pima kwa kisayansi, tengeneza kwa uhakika!


​🎁 OFA YA LEO PEKEE!

​Bei halisi ya mwongozo huu ni TZS 70,000, lakini kwa kuwa tunataka kuinua viwango vya mafundi nchini, unapata ofa ya punguzo la 50%. Lipia TZS 20,000 tu sasa na upakue (download) faili lako la PDF papo hapo kuanza masomo!


​Bofya kitufe cha "Buy Now" hapo juu kupata nakala yako sasa! Elimu ni Mwanga wa Kazi Yako.

Emobile Fix Tanzania. Wasiliana nasi moja kwa moja WhatsApp kwa namba +255750593903 tukusaidie

Frequently bought together

© 2026 Emobile Fix Tanzania. All Rights Reserved.

Powered By